Search

8 results for Fadhili Kijanjali :

  1. Mwanajeshi aua watu 13 kwenye msiba wa mwanaye

    Ngongo ameongeza kuwa vikosi vya kijeshi vinavyojumuisha wanajeshi wa DRC tayari vimetumwa kumkamata mwanajeshi huyo aliyekimbia baada ya kufanya mauaji hayo.

  2. Mnyika awataka wananchi kuendeleza mapambano Katiba mpya

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amewataka wananchi kuendeleza mapambano ya kupatikana katiba mpya itakayowapa nguvu ya kuiwajibisha Serikali.

  3. Wanafunzi 37 wauawa shambulio la waasi nchini Uganda

    Watu takribani 25 wameuawa katika shambulio la waasi katika shule moja nchini Uganda karibu na mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  4. Idadi waliouawa Uganda yaongezeka

    Taarifa zinaonyesha kuwa idadi ya watu waliofariki katika shambulizi la shule mjini Mpondwe magharibi mwa Uganda imeongezeka na kufikia 40, huku idadi ya waliotekwa nyara na waasi bado...

  5. Wadau wamshukia Mbunge Ngara, wadai ni joto la uchaguzi

    Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wamekosoa vitendo vya mbunge anayetuhumiwa kulazimisha wananchi kuweka picha yake kwenye maeneo yao ya kazi na nyumbani.

  6. Majaji waghairi kumshtaki mtuhumiwa aliyefikisha miaka 90 mauaji ya kimbari

    Mahakama ya uhalifu wa kivita ya Umoja wa Mataifa, imesema mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda yaliyofanyika mwaka 1994 mwenye umri wa miaka 90 kuwa hana tena uwezo wa kushiriki kesi...

  7. Mke wa Rais wa China awakumbuka wanawake, watoto Dar

    Shughuli ya kutunza afya ya watoto wa Tanzania imefanyika leo Mei 28, 2023 na ubalozi wa China katika Kituo cha Ijango Zaidia Orphanage Centre kilichopo Sinza D Manispaa ya Ubungo jijini Dar es...

  8. Aliyejirusha ghorofani azikwa Dar, Mchungaji asema…

    Safari ya mwisho hapa duniani ya Joel Misesemo imehitimishwa kwa mwili wake kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam.